Mwanadada vanessa mdee anakuja juu sana kwenye muziki wa bongo fleva
Hii ni video ya pili kwa mwanamuziki vanessa mdee aliyoizindua weekend iliyopita na watu walio hudhuria walipata bahati ya kusikiliza audio mpya inayofahamika kwa jina la hawajui
Video mpya ya cameover imefanywa nchini kenya na Director Enos Olik
Bonyeza apo kuicheki>>>>>Vanessa Mdee-Come Over Official Video: http://youtu.be/FT9-SY8DupU