Ijumaa, 20 Juni 2014

CHEKI VIDEO MPYA YA VANESSA MDEE - COMEOVER .......... hapa

Mwanadada vanessa mdee anakuja juu sana kwenye muziki wa bongo fleva

Hii ni video ya pili kwa mwanamuziki vanessa mdee aliyoizindua weekend iliyopita na watu walio hudhuria walipata bahati ya kusikiliza audio mpya inayofahamika kwa jina la hawajui

Video mpya ya cameover imefanywa nchini kenya na Director Enos Olik

Bonyeza apo kuicheki>>>>>Vanessa Mdee-Come Over Official Video: http://youtu.be/FT9-SY8DupU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni